01
01
Mhe. Prof. Makame Mbarawa ( Mb), Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia akiongea na Mhe. Miao Wei, Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Habari kutoka Jamhuri ya Watu wa China ofisini kwake kuhusu maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ya TEHAMA nchini .
02
02
Prof. Patrick Makungu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia akiweka saini kwenye Mkataba wa Maridhiano baina ya Tanzania na China kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya TEHAMA nchini .
03
03
Mhe. Prof. Makame Mbarawa ( Mb), Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia(wa tatu kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Mhe. Miao Wei, Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Habari kutoka Jamhuri ya Watu wa China (wa nne kulia) na ujumbe wa baada ya kuweka saini mkataba .
04
04
Ujumbe wa Mhe. Miao Wei, Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Habari kutoka Jamhuri ya Watu wa China na wawakilishi wa Kampuni ya CITCC wakifuatilia kwa makini hotuba za Mawaziri .

Contact Us:

Permanent Secretary
Ministry of Communication, Science and Technology
14 Jamhuri Street
Block No: 1168/19
P.O.Box 2645
11470 Dar es Salaam
TANZANIA.
Phone: +255 22 2116669+255 22 2116669
Fax: +255 22 2112533
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Website: www.mst.go.tz

Copyright 2011 Home. Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Templates Joomla 1.7 by Wordpress themes free
Follow Us on Facebook
Follow us on Twitter